Kwani muafrika ni nani?

Mkonga100

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
660
494
Habari za maandalizi ya pasaka wapendwa.
Turudi kwenye mada kuna uzi nimesoma hapa unasema yule muafrika kwenye mkanda wa yesu alitokea wapi.? Sasa nihitaji kujua Uafrika nini? Kuwa mweusi au kuzaliwa Africa?
 
Ni sawa na kuuliza mtanzania ni nani?

Mwaafrica ni mtu mwenye asili ya africa. Africa ni wapi? Ni nchi zote zilizopo kwenye bara la africa.

Je kama mama yake ni Mwaafrica na baba mzungu? Hapo pia kwangu atakuwa Mwaafrica mwenye asili mbili.
 
Back
Top Bottom