[B]nadhani neno hili ni kuwaibia wananchi

marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
1,066
573
1 HALICHACHI
2 HATUPIMI
3 HALIISHI
b4baa6aaf18716d410de89df288f3e39.jpg
ae78e4469ba04f12350707680c024c79.jpg
4eae6b2e83bef133cd5b235aa604b41c.jpg

Nimasikitiko makubwa kuona makampuni ya simu yakijitangaza kutoa offer ya vifurushi visivyo na ukomo kama ilivyo hapo juu

Makampuni ya simu yameendelea kuwaibia wananchi kwa udanganyifu wa kutoa vifurushi visivyo na mwisho hakuna tofauti na vile vya kwanza kabla ya offer hii

Huku yakiwavuta wengi na kudanganyana vifurushi vyenye ukomo kuwa havina ukomo kwa mfano natumia airtel bando ya mwezi tsh 10000 dk 175 bila offer sasa wamekuja na lugha mpya wakiita HATUPIMI BANDA na dk ni zile zile

Lakini cha kushangaza kabisa kwamba wanaviita vifurushi visivyo na ukomo huku vikiwa na cha saa24 hapo kuna kipimo cha saa 24 kingine cha wiki siku 7 hapo kuna kipimo yaani mwisho wa bando

Kingine ni cha mwezi siku 30 hapo kuna kipimo cha siku 30 je huu si wizi? Kwa makampuni ya simu na cha kushangaza wameachwa na mamlaka husika TCRA kuendelea kudanganya watu ningekubali kuwa kama havina ukomo kama vingekuwa havina muda waliopanga

Nawasilisha

 
Back
Top Bottom