McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Nikweli Kamati inamipango mizuri kulinga na uwezo na mamlaka iliyonayo lakini ndugu zangu inamaanisha hayo Mauaji yameigusa sana hii Kamati kuliko matukio mengine kama wakulima na wafugaji kuuawa, kutekwa kwa baadhi ya viongozi na wasanii e.g. Roma mkatoliki, ben saanane, suala la DAUDI ALBERT BASHITE kuingilia studio, suala la vyeti feki vya BASHITE