Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 24,973 76,056 Apr 18, 2017 #4 Atulipie mahari ambao hatujaoa
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,784 Apr 18, 2017 #5 Apone magonjwa mtambuka... Hasa yale yaliyopelekea akapige kikombe cha babu wa Roli Yondo!
Mark Msue JF-Expert Member Apr 2, 2017 2,293 12,246 Apr 18, 2017 #6 Namwombea kila siku ili atoke madarakani.
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,415 38,696 Apr 18, 2017 #8 Aombewe aisisikilize upupu wa wanaume wala chipsi wanaolia lia kwa kila kitu.
Tuta Absoluta JF-Expert Member Apr 9, 2017 284 628 Apr 18, 2017 #9 Aache mipasho manake anaelekea kumzidi Khadija Kopa.
mdukuzi JF-Expert Member Jan 4, 2014 19,979 49,074 Apr 18, 2017 #10 ndege atakayopanda iwe kama ya malaysian air ways hayo ndio maombi yangu
McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Apr 18, 2017 Thread starter #12 Mark Msue said: Namwombea kila siku ili atoke madarakani. Click to expand... Makubwa
McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Apr 18, 2017 Thread starter #13 mdukuzi said: ndege atakayopanda iwe kama ya malaysian air ways hayo ndio maombi yangu Click to expand... Mazuri
mdukuzi said: ndege atakayopanda iwe kama ya malaysian air ways hayo ndio maombi yangu Click to expand... Mazuri
McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Apr 18, 2017 Thread starter #14 Ningependa amtumbue DAUDI ALBERT BASHITE
F35-Bomber JF-Expert Member Mar 18, 2017 1,299 1,037 Apr 18, 2017 #15 hoja yangu au wazo langu la tanzania ya viwanda waje inbox niwape wazo