Keki ya taifa (National cake) ni kitu gani na huliwa na akina nani?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,727
Huwa naisikia sana keki ya taifa na naitamani sana, naamini kuuliza si ujinga, naombeni majibu
8311e7aab1368700e5c79396d08722fd.jpg
 
Huwa naisikia sana keki ya taifa na naitamani sana, naamini kuuliza si ujinga, naombeni majibu
8311e7aab1368700e5c79396d08722fd.jpg


Rasilimali za nchi na yote yaliyomo yenye kuwanufaisha wazawa. Madini, ardhi ni mfano wa national cake. Naweza kusahihishwa kama nimekosea.
 
Huwa naisikia sana keki ya taifa na naitamani sana, naamini kuuliza si ujinga, naombeni majibu
8311e7aab1368700e5c79396d08722fd.jpg
Msimu uliopita ilikuwa zamu ya Ritz au Riziwan kula keki ya Taifa, sasa ni zamu yake kuisoma namba.
Msimu huu ni zamu ya BASHITE kuitafuna keki ya Taifa.
makongoro mwana wa nyerere hajawahi kuifaidi keki ya Taifa baba yake akiwa mkulu, sasa amebaki akitoa Shikamoo hata kwa wajukuu wake
 
Moderator ume edit title na umepoteza maana halisi ya uzi hivyo naomba either urudishe kama ilivyokua au ufute kabisa maana umekuwa na tabia ya ku edit mawazo yangu.
Moderator sometimes wanakera,basi muwe mnawasiliana na mwenye uzi wake kama kuna jinsi ya kuboresha kuliko kuedit tu mawazo ya mtu na kupelekea kupoteza maana na lengo la mwenye uzi!!
 
Wanaofaodi matunda ya uhuru na kekiya taifa ni [HASHTAG]#FARUJOHN[/HASHTAG] na [HASHTAG]#FARUFAUSTA[/HASHTAG]
 
keki ya taifa inaliwa na mtu aliyehudumu miaka isiyozidi mitatu na kujiuzulu kwa kashfa ila mpaka leo anapata mafao na ulinzi kama waziri mkuu mstaafu. sasa sijui na wa sasa akijiuzulu leo nae ataendelea kula benefits
 
Back
Top Bottom