ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Yaani hapa kuna mambo nafikiria yanavyoenda mpaka natukana matusi ya kichina kiasi kwamba nimemstua paka wangu hadi kakimbia kwa uoga
Embu fikiria jamaa alimtolea bastola Nape tunaambiwa hafahamiiki lakini mbele yake kulikuwa na policemen pamoja na RPC wao wa kinondoni na baada ya muda kuna m celebrity wa instagram akatoa picha aki claim kwamba muhusika ndo huyo jamaa,basi hakuna hata wapelelezi wa kumuuliza Maulid kitenge aliyetumia takribani dakika 2 face to face akimsukuma hiyo njemba isimdhuru Nape ahakikishe kama sio yule jamaa aliyeanikwa mapicha yake?just Imagine hilo suala limekwishasahaulika,business as usual.
Mtawala kavamia media na armed soldiers,ushahidi upo kwenye cctv hakuna kilichofanyika hadi sasa
Mawasiliano ya Ben saanane na jamaa aliyemtumia sms za vitisho,hakuna kinachoendelea
Mwisho huu ujinga wa TFF,YANGA,SIMBA NA KAGERA SUGAR...damn idiots achaneni na makaratasi ya makamisaa na waamuzi ,ombeni clips za mechi toka Azam tv muangalie hizo yellow cards...dumb idiots.