Jameni naombeni msaada niko njia panda

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,278
7,915
Ipi tofauti ya elim bure na elim bila malipo, maana nimesikia serekali ya awam ya tano inatoa elim bila malipo lakini haitoi elimu bure, sijaelewa hapa mwenye kuelewa anisaidie
 
Elimu bure inamaanisha serekale inalipia kila kitu kama slogan ya Lowassa lakini elimu bila malipo ina maanisha serekale inakulipia ada tu vingine ni juu yako, ishu ya madesk ni msaada tu. Hii si kwa mjibu wa uelewa wake wala wako wala wangu.
 
Back
Top Bottom