bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Watu wengi wa rika langu kuna mambo mengi tumeyasoma tu kama historia ila binafsi sipendi yaje yatokee tena.
Sipendi tena dunia ya leo watokea watu kama Musolin,Hilter,Savimbi...nk
Sipendi Dunia ya Leo nishuhudie tukio kama la Hiroshima ambalo liliwaacha watu wengi wakiwa wamekufa na vilema vya kutosha.
Sipendi kuona tena matukio ya Biafra war,mfecane war,Majimaji war,Shona&Ndebele war,Maumau war,nk
Mengine yabaki historia tu tusipende kuyaona tena yakijirudia
Kuna Watu nawaona wakisapoti hili vuguvugu la USA na NORTH KOREA endapo hicho mnachotaka kitokee kama sio watoto au wajukuu wenu watakuja kusimuliwa hiyo habari.
Kama mtu anakiri binafsi atatumia kila aina ya silaha alizokuwa nazo kitu gani kitatoea hapo?
Tupende Amani siku zote.