Tumetoka Mbali : Kumbi za Sinema enzi hizo siku za Weekend

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,617
37,815
Nimekumbuka enzi hizo hasa siku za Ijumaa na Jumamosi - kwa wale vijana wa zamani tulikuwa tunakutana katika kumbi hizi za CINEMA
Empress

Avalon
Empire
Drive in
New Cox

Hakuna hata kumbi moja ambayo ipo operational kwa sasa kati ya hizi - mimi nilifurahia kwenda Drive-in, unapack gari (504) then unacheki movie ukiwa ndani pamoja na mtu wako. Hakuna kelele yaani ilikuwa furu ustaabu.

 
  • Thanks
Reactions: ADK
Sapna na Shan - Morogoro. Picha mpya ikiingia kwa ratiba kama mbio za mwenge (baada ya kuonyeshwa Dar, Arusha, Mza) tunakata tiketi wiki mbili kabla!
 
Star Light, niliangalia Disco Dance ya Mithun Chakrabot kwa mara ya kwanza pale.
 
Nakumbuka miaka ya 1980s mwishoni tulikuwa tunaangalia sinema pale ukumbi wa bwalo la chuo korogwe TTC, sinema za james bond.
 
5bfe8b9109f95e2cff9baa0c3a41dd0c.jpg
 
Metropole na Elite,Arusha kila weekend picha za kiihindi booking yake wiki kabla
 
Katika kumbi zote hizo drive in ndo ukumbi ambao ukiwa nje unaona muvi bila sauti
Nimehudhria saana hapo
 
Kule Singida kulikuwa na FURAHA CINEMA,move ya ANDHA KANOON ya AMITHA BACHAN kwa mara ya kwanza niliiona pale.
 
Back
Top Bottom