Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa uchunguzi Wa kina nilioufanya; pamoja na kwamba kila mtanzania ana haki ya kuteuliwa/ kuchaguliwa kuwa kiongozi Wa umma endapo katimiza masharti! Nimegundua kwamba watu ambao historia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anayejua gharama ya kutuma mzigo nje ya nchi kwanjia ya Posta ya kawaida, au njia nyingine ambayo ni rahisi.
0 Reactions
6 Replies
8K Views
5 Reactions
60 Replies
13K Views
Serikali ya awamu ya tano kweli ni ya wanyonge. Ule msemo wa wataishi kama mashetani sasa unafanya kazi kwelikweli. Wanyonge tunafarijika kwani zamani tulikuwa tunasononeka sana majamaa yakila...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Ulipokuja mtandao wa Halotel ulikuwa na kasi ya ajabu kwenye internet ikanifanya nihamie. Ila narudi tu nilikokuwa mwanzoni maana yamenishinda!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania wenzangu, leo naomba niweke sawa juu ya Padre Pio wa Pietrecina, Italia na matumizi ya Jina Pio katika maisha yangu (Deogratius Pio Kisandu). Baba yangu mimi sio Pio bali...
3 Reactions
150 Replies
30K Views
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi wa kamati ya masaa 72 kwa kuipa simba pointi 3 na kuzirudisha kwa kagera Akitangaza uamuzi huo katibu mkuu wa TFF selestine mwesigwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu napenda kujua matangazo yalitokuwa yakirushwa kwenye redio na stesheni mbalimbali za TV yameishia wapi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimesikitika sana Duh jaman! Yesu gani na chupi hiyoo? Yesu anapewa na kinasa sauti (mic)???
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Heshima kubwa naiwe juu yenu mabibi na mabwana!!Kwa heshima na taadhima najitokeza hapa jukwaani,kutoa ombi lifuatalo. Vijana wengi wa kitanzania tumekuwa tukilalamika kuwa tuna idea ama project...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakuna siku niliyojisikia vibaya kama siku moja nipo nyumbani, kama kawaida yangu nilikua nimelewa chakari, nimejilaza kwenye kochi. Hapo ni baada ya kumtukana mke wangu na kuwaambia wote waende...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kujua kama kuna rubani mtanzania ambaye anarusha ndege kubwa za anga la kimataifa mfano Qatar, Emirates, Singapore, Bombardier nk kwenda nje mfano US, UK, Asia...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Kiukweli sijui hizi movie zinaitwaje, ila nimevutiwa nazo baada ya kuona hizi trailers, naombeni msaada wa majina ili nizitafute na kuziangalia.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani,kweli huyu Mzee ccm tayari wameshamjaza mimba,kwa mambo anayofanya kwa kutumiwa na ccm kuivuruga CUF,yaani huyu Mzee heshima take mbele ya jamii Kwisha habari yake.yaani anaitwa profesa...
3 Reactions
1 Replies
897 Views
Namshukuru Muumba pia naishukuru serikali ya Tanzania nimepata ajira mkoani Arusha! Ndugu zangu nahitaji kusafirisha vyombo yaani kitanda kodoro friji kabati TV Gesi kooker n.k wapi naweza pata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba kwisha kabisa
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kamati ya Maadili ya TFF imemsimamisha Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa muda wa miezi 12 na faini shilingi milioni 9...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Tarehe 06/04/217 Mdogo wangu alipokea Simu kutoka Mahakama Kuu Dsm ikimuulza kama yupo tayr Kurd kazn akasema yupo tayr, sasa amesubr Simu yakuambiwa lini aende kuriport lakn kimya zinaelekea wiki...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Tanzania gold producer Acacia Mining will have to review it's mining operations if the government's ban on gold and copper ore exports remains in place, senior executive said on Thursday. Shares...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…