Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Za leo jamani, Wanawake wana kamtindo fulani kakufyata pochi kwani anapokuwa ndani ya daladala au mtaani anatembea, hasa maeneo ya mijini kama Dsm, Arusha, Dodoma, Moshi, Mwanza na Mbeya. Bila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Limepita tetemeko muda si mrefu Usiku huu saa saba na dakika 23 mjn Bukoba tetemeko dogo limepita limechukua kama sekunde 15 hivi. Kama una ndugu yako bukoba mwambie alale kwa tension maana huwa...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO TAARIFA KWA UMMA WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UNUNUZI HISA ZA AWALI ZA VODACOM Serikali imewataka watanzania kuchangamkia fursa ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama Mimi ningekua huyo bashite anayefanya nchi inachefuka hivi na kwa kashfa zinazoendelea nchini juu yake na kwa namna anavyoendelea kushushia Hadhi mamlaka ya uteuzi na jiji la dar kwaujumla...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Na MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Bia ya Tanzania Breweries (TBL), imepunguza watumishi wake takribani 100 ndani ya saa 24. Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka kwa watumishi wa TBL, zinadai...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Mazee kama kunakitu kinakera basi Hawa MBU wanao penda kuunguruma masikioni Wamezidi Asee me Bora wanga'te nyama sio kunikoromea masikioni wakati masikioni ni yangu . Yan wanaharibu pozi...
0 Reactions
5 Replies
978 Views
Imekua ni kero sasa kwa hawa vijana wanaodrive subari alteza na haya mapikipiki makubwa kama baja! Kiukweli vijana wenzangu hapa mjini (Arusha) mmekuwa ni kero kubwa, hiyo mi vyombo yenu...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Ni mikoa michache nchini ambayo wilaya inaweza kukaribia kimaendeleo makao makuu ya mkoa. Kama ulikuwa hujui ukifanikiwa kupita Kahama Mjini na kisha ukapita Shinyanga mjini unaweza kudhani...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Nimecopy kama ilivyo kwa @mrekebishatabia instagram =========== Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake..sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya...
4 Reactions
498 Replies
140K Views
Nimefungua kiduka changu nikiwa na mtaji wa million moja, nimeenda TRA wakanipigia hesabu ya kulipa 150,000 Kwa mwaka huu 2017. Sijakaa kidogo wamepita watu wa leseni kwenye hii manispaa ya...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz. Adiiiioooos amigoooo.
8 Reactions
129 Replies
11K Views
Soko maarufu kwa biashara za mbao mjini Shinyanga la Kambarage linateketea kwa moto Muda huu, huku fire wakishindwa kuudhibiti moto huo, umbali kutoka kituo cha fire kuja sokoni ni kama mita 500...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu...
9 Reactions
18 Replies
5K Views
Jana ilishuhudiwa utumbuaji mkubwa na wa kihistoria kwa wafanyakazi wa umma waliofoji vyeti vya taaluma zao hapa nchini na haikuwahi kutokea toka nchi hii ianze Utumbuaji huo ulifanywa na Rais...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Ndugu zangu watanzania, kupitia humu jamiiforum nimebaini kuwa wakenya ni wazalendo katika masuala mbalimbali ya nchi yao, mfano jeshi lao yaani wanawapenda asikari wao, rais wao, na maendeleo...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Wakuu, Leo nilikuwa nasikiliza TBC Taifa mechi ya Simba na Azam. Katika pitapita yangu mitaani nikasikia mtangazaji wa radio moja (mubashara) akiitangaza mechi hiyo. Kilichonistaajabisha ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kuuliza hivi kwanini serikali isiwape nafasi wanafunzi wengi wanao hitimu nafasi ya kujifunza kazi ili waweze kupata uzoefu wa kazi kwa masomo waliyosomea, ikumbukwe kuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1Duniani Kote wanawake wanalipwa kidogo kuliko wanaume. Nchi nyingi duniani wanawake wanapata aslimia 60-75 za wanacholipwa wanaume... 2:Wanawake Wasomi wanauwezekano mara Mbili zaidi ya...
2 Reactions
2 Replies
608 Views
MEI MOSI SHEREHE ZA TISHETI, MAANDAMANO NA MABANGO. Sherehe za Tshirt husherekewa Duniani kote Tarehe Moja ya Mwezi wa Tano. Pamoja na mambo mengine yawezekana hazijatumika vizuri kuenzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…