Ni habari za kusikitisha sana,
Leo asubuhi radio free Africa wametangaza kuna mtoto wa miaka kumi na sita alichelewa kupika maharagwe akamwagiwa petroli na kuchomwa moto na Muhindi anayeitwa John...
MABINTI 22 wa Kihindi na Kinepal walioingizwa nchini kufanya biashara ya kuuza miili, wamenaswa wakimwaga machozi hadharani kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar wakisikitikia...
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu...
Wananzengo habari za hapa bongo,
Mimi ni mtanzania nilikuwa masomoni North Korea kwa mapank nimerudi sasa naishi Tabata reli hivyo nauliza sehemu ya mazoezi hapa Tabata ni wapi ilinikaendeleze...
Familia ya kihindi ya watu 5 imelazwa hospitalini baada ya
housegirl kuwawekea sumu na kuondoka na mali kadhaa
habari zaidi zinasema hadija binti ambae alikuwa akiwapikia
chakula wahindi hao...
Wadau natumai mu wazima,
Hili ni jukwaa huru, kila mtu ana upeo wake wa kufikiri, nimepata maswali haya katika tafakuri yangu;
1.Mwaka wa fedha 2016/17 serikali chini ya uongozi wa Magufuli...
Siku moja nchini marekani mzungu mmoja aliingia kwenye mgahawa na kukuta kuna kijana
mmoja mweusi amekaa kwenye Kona ya mgahawa huo.
Akaingia ndani na kumwagiza muhudumu awape watu wote chakula...
Mi tangu primary nalazimishwa kuimba wimbo wa taifa japo huwa sipendi.
Mi siamini uwepo wa Mungu na katika wimbo ule kuna maneno kama "Mungu ibariki Tanzania"
Jamani mi naona wawe wanawaacha...
Wakati magazeti karibu yote yakiongozwa na habari zinazohusiana na maazimisho ya sherehe za May Mosi,Gazeti la The Guradian limebeba habari kuu juu ya utata wa ununuzi ndege aina ya Boeing...
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara...
Habari za asubuhi ndugu zangu.
Rungu la wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki ,limemkumba mhandisi mmoja wa jijini Mwanza ambaye alikuwa astaafu May 2017 na kupewa mafao yake ambayo yanafikia...
Hata siku moja sijapata kuona mkichangia mada yoyote au kutoa challenge bungeni ,au mlikwenda kutalii kule ??
Au mnataka kusema majimbo yenu hayana matatizo na changamoto ?
Kiukweli siwaelewi...
Lahaula! Maisha ya kitaa, vijiweni toka asubuhi sasa baaaasi! Ni wakati wetu sasa, wenye CV za ukweli, ambao kwa miaka mingi tumekuwa wahanga wa kukosa ajira kujitanua kwa mshahara kila mwezi na...
WAKATI Serikali imetangaza orodha ya majina ya watumishi wa umma wenye vyeti feki, Halmashauri za Miji, Wilaya, Manispaa na Majiji zimeongoza kwa kuwa na wafanyakazi wenye vyeti bandia huku...
Ndugu za Watanzania ajira ni nyingi sana iwapo tutaruhusu uchumi wetu ufanye kazi masaa 24 kwa kuanzai na usafirishaji.
Mfano mzuri ni wenzetu wakenya, vijana wanafanya kazi masaa yote na...
Wapendwa ndugu zangu huku Mwanza life ipo juu mno
Yaani kilo moja ya sukari ni elfu tatu
Mchele kilo tena wenye mawe grade 3 ni elfu mbili
Unga wa ugali ni elfu moja Mia nane
Vipi huko kwenu hali...
Nipo sehemu nmekarbishwa lakn huyu mwenyej wangu hama kifurush cha Azam, ilobaki ni TBC1 tu, picha zinaganda na kutoktoa sauti, je nn maana, hadhi ya TV hii kuwa ya taifa?
Hovyo kabsa bora...
NBC bank ni jipu, leo mei mosi lakini hadi sasa pesa za watu mmezikalia pasipo sababu zozote wakati waajiri walishazileta hizo pesa kwenu, Kwanini mnawacheleweshea watu pesa zao wakati ni saving...
Mei mosi naona ni kiini macho ya kuifanya ccm iaminike inafanya kazi. Wananchi wamekusanywa balaa ili waonekane watu wanamkubali ila kwa halisia watu wengi wameenda kuona jambo jipya kama...