Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,944
Wadau natumai mu wazima,
Hili ni jukwaa huru, kila mtu ana upeo wake wa kufikiri, nimepata maswali haya katika tafakuri yangu;
1.Mwaka wa fedha 2016/17 serikali chini ya uongozi wa Magufuli ilidhamiria kuajiri wafanyakazi wapatao 70 elfu, je, ni kwanini hata robo ya malengo haijafika?.
2.Kama zoezi la uhakiki ndilo lilikuwa hindrance, kwanini ile idadi iliyosalia haijahamishiwa katika mwaka wa fedha 2017/18?.
3. Kama mwaka wa fedha 2016/17 serikali ingefanikiwa kuajiri wafanyakazi elfu 70's je, mwaka wa fedha wa 2017/18 isingeajiri? Na kama ingeajiri ingeajiri kwa idadi gani?.
4. Ukiondoa idadi ya wafanyakazi wapatao elfu 20 walioondolewa kwa hewa na vyeti feki, hapa tunapata ombwe kubwa sana plus wastaafu, kwanini serikali haiko tayari
kuajiri zaidi ya idadi aliyoitaja leo?
5.Kama serikali haina uwezo wa kuajiri wafanyakazi wapya na kuwalipa wafanyakazi kwa maslahi nzuri zaidi kwa sababu mbalimbali ikiwemo ya kuyumba kwa uchumi wa taifa kwanini tusiwekwe wazi ili tufunge mikanda?