Ni habari za kusikitisha sana,
Leo asubuhi radio free Africa wametangaza kuna mtoto wa miaka kumi na sita alichelewa kupika maharagwe akamwagiwa petroli na kuchomwa moto na Muhindi anayeitwa John anayemiliki kambi ya kitalii maeneo ya Mbulu, cha kusikitisha Mhindi kaachiwa kwa dhamana wakati dogo yuko hospitali na hali yake ni mbaya.
Alichofanya huyu Muhindi na mjomba wa mtoto hakijulikani kwani mtoto alitolewa hospitali na mjomba akapelekwa kwa bibi kijijini akiwa hajapona bibi anasema hali yake ni mbaya anahitaji msaada apelekwe India ili hali yake itengemae.
My take: Hivi polisi wetu wana utu, siwanalipwa mishahara minono kwa kodi za wananchi, wameona hela za Muhindi ni tamu kuliko kodi za wananchi, toka lini mtuhumiwa akaachiwa wakati aliyemjeruhi yuko hospitali, hivi lini tutaacha kutanguliza hela mbele na kumjali mtoto huyu thamani ya maisha yake yamelinganshwa na maharagwe au Muhindi!