TBC1, hii TV haina sifa kuwa TV ya taifa, hovyo kabsa!

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Nipo sehemu nmekarbishwa lakn huyu mwenyej wangu hama kifurush cha Azam, ilobaki ni TBC1 tu, picha zinaganda na kutoktoa sauti, je nn maana, hadhi ya TV hii kuwa ya taifa?

Hovyo kabsa bora kusiklza radio!
 
Kweli kabisa wanatia kinyaa na ni aibu kubwa sijui wanajisikiaje wanakatisha matangazo ya live wanaleta vipindi ambavyo haviendani kabisa poor tanzania
 
Nipo sehemu nmekarbishwa lakn huyu mwenyej wangu hama kifurush cha Azam, ilobaki ni TBC1 tu, picha zinaganda na kutoktoa sauti, je nn maana, hadhi ya TV hii kuwa ya taifa?

Hovyo kabsa bora kusiklza radio!
Kwa kweli hii TV ni hovyo sana
 
TBC ukweli tunaipenda ila hawajitambui, cjui kwa nn, dr. robya ndo nn mpaka Leo bado TBC haina quality?
 
Hiyo sio TV ni kifaa cha kutolea habari za serikali haipo kiushindani km mnavyodhani ipendwe isipemdwe kwao hawana shida ni bora tu mishahara inatoka basi
 
Tbc kazi yao ni kutafuta uongo na kumsifia Magufuli kwa uongo ili wapate vyeo, labda wale wakina Gabriel Zakaria na wenzake wamerudishwa kazini ndiyo maana inakuwa hivyo mambo yote uongouongo
 
Nenda kalipie kisimbusi hata ITV ,Clouds, Azam wote wanaonyesha
 
kipindi cha kampeni walikodi mitambo?? enheeee kabla sijasahau ivi ile mitambo iliyokabidhiwa juzi juzi hapa na wachina kazi bado haijaanza vile eeh?? eti??
 
Nipo sehemu nmekarbishwa lakn huyu mwenyej wangu hama kifurush cha Azam, ilobaki ni TBC1 tu, picha zinaganda na kutoktoa sauti, je nn maana, hadhi ya TV hii kuwa ya taifa?

Hovyo kabsa bora kusiklza radio!

Cha kusikitisha zaidi na kama siyo kuudhi anayeiongoza ni PhD holder na Mwanahabari wa ' Kutukuka ' kabisa. Sasa naanza kuamini kuwa kumbe ' Elimu ' kubwa za Watanzania huishia tu pale Uwanjani ' wanapotunukiwa ' lakini wakija huku Uraiani na sehemu za Kazi na Wao huonekana ni ' bure ' kabisa na wasio huku wakiwa hawana tofauti yoyote na wasiosoma au waliokosa bahati ya Kusoma kama Wao.
 
Tatizo hilo shirika lina wafanyakazi wazee na kila kitu kinaendeshwa kizee wao wanasubiri mpunga tu kila mwisho wa mwezi.
 
Nipo sehemu nmekarbishwa lakn huyu mwenyej wangu hama kifurush cha Azam, ilobaki ni TBC1 tu, picha zinaganda na kutoktoa sauti, je nn maana, hadhi ya TV hii kuwa ya taifa?

Hovyo kabsa bora kusiklza radio!
Hata channel zingine (Star TV na ITV - wameamua kuacha kuonyesha kabisa) kwasababu wote wanachukua TBC. Hakuna uchaguzi lazima kuiangalia hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom