pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Wapendwa ndugu zangu huku Mwanza life ipo juu mno
Yaani kilo moja ya sukari ni elfu tatu
Mchele kilo tena wenye mawe grade 3 ni elfu mbili
Unga wa ugali ni elfu moja Mia nane
Vipi huko kwenu hali ikoje ili kama kuna unafuu tuagize huko
Maisha ya sasa sio ya mchezo mchezo hata wageni hawaalikwi nyumbani kisa bajeti