9inone
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 774
- 317
NBC bank ni jipu, leo mei mosi lakini hadi sasa pesa za watu mmezikalia pasipo sababu zozote wakati waajiri walishazileta hizo pesa kwenu, Kwanini mnawacheleweshea watu pesa zao wakati ni saving acount, Je mnazifanyia biashara kwanza huku wahusika wanabaki wanapata tabu mtaani? Mchezo wenu huo mchafu tumewachoka sichelei kusema Nbc ni jipu linahitaji kupasuliwa kama si kutumbuliwa.