Nimetumbuliwa nina vyeti feki

muhinisugi

Member
Apr 25, 2017
43
34
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
 
Nenda NSSF haraka wakupe Pesa zako ulizolipa
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Acha kusanifu binadamu wenzako.Watu wapo kwenye matanga na hawajui ni lini wataanua matan.ga hayo.ww unakuja na mzaha.
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Umejiunga April 2017 unatoa povu
 
Jamani wapendwa yamenikuta ya vyeti feki nahisi kujiua maana familia yangu itaishi vipi wakati nilitegemea mshahara tangu mwaka 1990.sasa nitaishi vipi bila kazi na mtaji hata wakufanya biashara sina, naombeni ushauri wenu wadau
Jina lako lenyewe matusi(muhinisugi) we hujielewi mpaka hapo.
Nakushauri tafuta nafasi urudie shule siwanasemaga elimu haina mwisho?
It's your turn siuliwambiaga wenzako wajiajiri?
 
Back
Top Bottom