Tajadhari kwa wafanyakazi tarehe 2/5/2017

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,230
IMG-20170430-WA0009.jpg

Mwisho wa kunukuu.....
 
Najiuliza huu mziki wa mtaani watauweza, lakini wangewapa hata kiinua mgongo waanzie maisha kuanza moja siyo kazi ndogo
Upo sahihi mkuu, mambo mengine yanahitaji busara hata kidogo tu.
Inasikitisha sana...
 
KUNA JAMAA KAANZA KUNITAFUTA ANANIULIZIA ''VIPI HAMNA MISHE YOYOTE UNAWEZA NIUUNGANISHA YOYOTE ILE'' NAKAMUULIZA UTAWEZA MIKIKIMIKIKI MAANA HUKU JUHUDI ZAKO NDO MLO WAKO AKANIJIBU ''UNAFIKIRI NTAWEZA KITU GANI KINGINE HAMNA NAMNA NIPO TAYARI'' ... KAWA MPOLE KWELI HADI HURUMA
 
Kaka umeamua kunitangaza mpaka huku? Nimeahilisha basi
 
Back
Top Bottom