MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,212
- 1,009
Mei mosi naona ni kiini macho ya kuifanya ccm iaminike inafanya kazi. Wananchi wamekusanywa balaa ili waonekane watu wanamkubali ila kwa halisia watu wengi wameenda kuona jambo jipya kama wakorino. Bila viongozi wa Wafanyakazi imara na kuwa na itikadi isiyoelemea upande wa Serkali basi Wafanyakazi waendelee tu kusubiri hizi ngonjera