Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

Ni sahihi Rais kuponda vyuo vingine?

queen of the jungle

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
228
Reaction score
430
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
 
Hivi vyuo vikuu vinatakiwa vifanyiwe uhakiki vile ambavyo havikidhi viwango vifutwe kuliko Rais kuishia kuvisema tuu mama professor Ndalichako najua umetake note
Nadhani huko sahihi kabisa. Kwanza italeta picha nzuri kama rais ataiamini na kuiachia suala hili mamlaka husika (TCU). Na kama kuna jambo ambalo rais hafurahishwi nalo, ni vema akapata/kutoa maelekezo ya moja kwa moja kwa TCU. Kwa hali ilivyo sasa ni kama kutuchanganya tu wananchi!
 
Udsm ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
Mimi nilitoka hapo ila aibu inakuja pale tunapoona kuna PhD ilianzia hapo lakini lugha ya English ni mgogoro
 
Je ni vizuri rais baba wa wote kuviponda vyuo vingine ambavyo ni nje ya Dar es salaam, je sisi tuliokuwa na sifa then tukapata nafasi ya kusoma chuo kingine tutajisikiaje, au ndo tujione matabu darasa, kiukweli hakukuwa na haja ya kuongelea vyuo vingine akiwa kama baba watoto wote ni wake anatakiwa atusapoti mi nimejisikia vibaya nimeona kama cheti changu hakina maana kwa sasa kama mkuu wa nchi hakitambui.
Kwa kuviponda vyuo vya nje ya dar basi kakiponda hadi chuo alichosoma kipenzi chake Bashiit..
 
Hebu tuwe wavumilivu kwa kauli za raisi zinazokera. Ni vema kuzitarajia maana ndivyo mkuu alivyo!
 
Hebu tuwe wavumilivu kwa kauli za raisi zinazokera. Ni vema kuzitarajia maana ndivyo mkuu alivyo!
Tuliwahi kushauri awe anaandikiwa hotuba na azisome ili kuepusha kauli zisizo na mashiko..

Bado kidogo ataanza kuponda kanda fulani na kusifia kanda fulani!

Hotuba za kutoa kichwani tuwaachie akina Kikwete ni wazoefu!
 
Udsm ndio baba la baba lao.

MUHAS ni mtoto wa UDSM.
ARU ni mtoto wa UDSM.
DUCE ni tako la UDSM.
MUCE ni bega la UDSM.

Maraisi wote wa TZ ni UDSM Alumni.
Achana na Yoweri Kaguta Museveni.
Achana na Paul Kagame.
Achana na Mpambanaji Samora Machel.

Hivi vyuo vingine ni kama Takataka tuu.
Havina legacy yoyote.
Vipo tu kwa sababu UDSM haina capacity ya ku admit wanafunzi wote TZ na East Africa.
Kama mawazo na Fikra za wahitimu wa UDSM ndo hizi kuna sababu gani ya kujitapa kusoma UDSM mbona aibu tupu
 
Back
Top Bottom