Gym inapatikana wapi maeneo ya Tabata?

Gym inapatikana wapi maeneo ya Tabata?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Wananzengo habari za hapa bongo,

Mimi ni mtanzania nilikuwa masomoni North Korea kwa mapank nimerudi sasa naishi Tabata reli hivyo nauliza sehemu ya mazoezi hapa Tabata ni wapi ilinikaendeleze maana kule nk ilikuwa lazima upende usipende.
 
Back
Top Bottom