Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kuna jamaa ananitumia video za kuhusiana na PIONEERS sasa hapo ndo sielew ananiambia nitapewa invitation kwenye hili jambo jamaa ni mganda Kwa anaejua anieleweshe maana sielewi chochote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sasa watu walisema ni vigumu serikali kujua watumishi wa makampuni na mashirika ya binafusi ni hivi kwa sasa wana majina yote ya watumishi wa private ambayo wameyapata kutoka Databases za mifuko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mapacha hao Maria na Consolatha wamepewa upendeleo maalum watakapofanya mitihani ya kidato cha 6 kwa kuongezewa saa 1 la ziada la kufanya mtihani
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi wa majimaji wanaendelea kushambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni askari magereza wa kijijini hapa baada ya kutokea kutoelewana baina yao kufuatia kitendo cha askari hao kuwajeruhi vujana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Early Marriage" in Afghanistan or Child Prostitution in America; Mrs. Ruhla Ghani which one robs childhood and future opportunities? -
1 Reactions
3 Replies
785 Views
Ni jambo la kusikitisha kwamba niynyi waandishi wa habari mmekubali kumpa coverag Prof Lipumba licha ya kujua kwamba ni mtu huyu ndie aliyewaumiza vibaya nyinyi waandishi wa habari kwa (kudaiwa)...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana swali hili kuhusu dar-ubungo bus terminal,ni kwanini watu wanalipishwa pesa kuingia ndani ya stendi pindi wawasindikizapo ndugu ama jamaa zao na wakati mwingine hata wao...
16 Reactions
44 Replies
6K Views
Mtumishi feki asipolipwa mafao kwa muda alioitumikia serikali atakwenda mahakamani kudai stahiki au serikali itawashitaki watumishi feki kwa kuidanganya serikali na kujipatia mshahara+ajira kwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Ndugu, tangu Nov.2015 mpaka sasa Headmaster wa Tanzania ni Magufuli, na kikatiba inaonekana sote tulimchagua ingawa tupo wengi tu ambao hatukumchagua na hatutamchagua kwa sababu zetu binafsi. Huyu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KANISA KATOLIKI TANZANIA. Kanisa kwasasa liko katika mpito mgumu sana na bado halijagundua, ndani ya Kanisa kumechangamana mambo mengi sana yanayokinzana kifikira. Kanisa linaonekana kutaka...
5 Reactions
70 Replies
9K Views
Heshima kwenu wakuu. John Steven Akhwari ni mwanariadha mstaafu. Alizaliwa mwaka 1938 kule Mbulu- Mkoani Manyara. Aliiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Olimpic mwaka 1968 nchini Mexico...
8 Reactions
57 Replies
11K Views
Mimi ni mkazi wa kanda ya ziwa, ni mojawapo ya mikoa iliyoasiliwa na upungufu wa mvua Cha kushangaza zaidi, kuna maeneo ya mikoa kazaa imefanikiwa kupata mvua, na imepata mahindi ya kutosha. Kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msimamo wao ulikua ni hakuna kuandika habari za makonda kwa namna yoyote ile ila haya magazeti hayauzi bila kumtaja [emoji3] [emoji3] Alhamis may 4 2017
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilisikitika sana nilipokusikia jana ukiwa kama Mgeni rasmi pale uwanja wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) katika maazimisho ya Sherehe za May Day uliposikika ukisema tena bila hata ya ' chembe ' ya '...
6 Reactions
97 Replies
9K Views
Ningependa kuishauri serikali kuanza na uhakiki wa umri kwa wachezaji wetu wa mpira wa miguu (football). Hii itasaidia kuimarisha vipaji na matumizi sahihi ya fedha za umma kwa watu husika.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Juzi kwenye sherere ya wafanyakazi amesema cwt kwa nini inawakata walimu asilimia mbili mimi nauliza kuna chama cha wafanyakazi ambayo haiwakati waganyakazi wake? Walimu kupitia hiyo asilimia...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
MSAADA: JE KUNAUHITAJI KWEL WA WAALIM WA KISAWHILI RWANDA? MSAADA: JE KUNAUHITAJI KWEL WA WAALIM WA KISAWHILI RWANDA?
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Mtandao wa WhatsApp umetoweka hewani kwa muda. Hadi naandika hapa hakujatolewa taarifa rasmi juu ya kilichotokea. Haya mambo ya teknolojia hayana mjuaji wake??!! ====== WhatsApp is down...
8 Reactions
94 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…