Mbinu iliyotumika serikalini kupata kunasa majina yote ya watumishi wa private sector

osama BLD

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
561
294
Sasa watu walisema ni vigumu serikali kujua watumishi wa makampuni na mashirika ya binafusi ni hivi kwa sasa wana majina yote ya watumishi wa private ambayo wameyapata kutoka Databases za mifuko ya pension....
 
Sasa wana matumizi gani na hayo majina?
 
Embu nielewesheni wadau..Serikali imetoa tamko na vyeti feki vihakikiwe kwa sekta binafsi au bado?
 
Back
Top Bottom