Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mapacha hao Maria na Consolatha wamepewa upendeleo maalum watakapofanya mitihani ya kidato cha 6 kwa kuongezewa saa 1 la ziada la kufanya mtihani
Mapacha hao Maria na Consolatha wamepewa upendeleo maalum watakapofanya mitihani ya kidato cha 6 kwa kuongezewa saa 1 la ziada la kufanya mtihani
Anataka tu kununua chetiMungu awasaidie...wamejitahidi sana...
Sasa utashangaa mtu ana miguu yote..macho..mikono..hataki shule hataki kazi...anataka vitu kwa short cut
Haya yanahitaji uzi maalum kuyaongeleaHivi hapa mfano kwenye kujisaidia haja ndogo au kubwa huwa wote wanasikia kwa pamoja au?
Na vipi kama mmoja akawa anataka kwenda sehemu X mwengine hapendi inakuaje?
Kama mmoja anataka kulala mwengine hataki inakuaje?
Ikitokea mmoja kafanya kosa ambalo anastahili kuchapwa viboko hapo inakuwa kuwaje?
Mungu awasaidie...wamejitahidi sana...
Sasa utashangaa mtu ana miguu yote..macho..mikono..hataki shule hataki kazi...anataka vitu kwa short cut
Na wengine wanaomba omba barabarani...tena huku wengine wana watoto mgongoni...Kanisa
Mkuu, watu wazima na bado wanaghushi vyeti.
Kanisa
Mkuu, watu wazima na bado wanaghushi vyeti.