sandu John
Senior Member
- Jun 24, 2016
- 180
- 104
Mimi ni mkazi wa kanda ya ziwa, ni mojawapo ya mikoa iliyoasiliwa na upungufu wa mvua
Cha kushangaza zaidi, kuna maeneo ya mikoa kazaa imefanikiwa kupata mvua, na imepata mahindi ya kutosha. Kuna amri za hivi hakuna kuyatoa mahindi nje ya mikoa hiyo husika.
Hivi mtu wa chini kama mkulima atapata wapi matunda ya nchi yake? Umelima mwenyewe unapangiwa. Soko.