Wakuu kuna jamaa ananitumia video za kuhusiana na PIONEERS sasa hapo ndo sielew ananiambia nitapewa invitation kwenye hili jambo jamaa ni mganda
Kwa anaejua anieleweshe maana sielewi chochote kuhusu hawa PIONEERS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.