Uhakiki wa umri ungeanzia kwa wachezaji wetu wa mpira wa Miguu

Kiberiti Kidogo

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
575
917
Ningependa kuishauri serikali kuanza na uhakiki wa umri kwa wachezaji wetu wa mpira wa miguu (football). Hii itasaidia kuimarisha vipaji na matumizi sahihi ya fedha za umma kwa watu husika.
 
Back
Top Bottom