Waandishi lini watakua na msimamo sawa?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,559
Msimamo wao ulikua ni hakuna kuandika habari za makonda kwa namna yoyote ile ila haya magazeti hayauzi bila kumtaja
(5).jpg
(6).jpg

Alhamis may 4 2017
IMG_20170504_072441.jpg
 
Mbona swali lako linakinzana na uhalisia wa swali lako wanahabari wamegoma kumuandika MAKONDA ushahidi uliouleta unamuhusu BASHITE au unataka kutuambia mkuu wa mkowa wa dar anaitwa BASHITE?
 
Gazeti la leo alhamis haya njoo ujitetee tenaView attachment 504277
Mbona hili suala liko wazi kabisa walichokubaliana ni kuto kumuandika kwa mazuri yake yaani kuto kufanya nae kazi ila kila baya lake litaandikwa tu,sasa wewe unavyoona kwenye hiyo habari ni jambo jema au baya linalomchafua!? Alafu hiyo ni 2side story yaani upande mmoja ni wa Makonda na upande mwingine ni wa clouds hivyo wao wameandika kwa kuegemea upande wao huku wakimuacha Makonda mpweke
 
Mbona swali lako linakinzana na uhalisia wa swali lako wanahabari wamegoma kumuandika MAKONDA ushahidi uliouleta unamuhusu BASHITE au unataka kutuambia mkuu wa mkowa wa dar anaitwa BASHITE?
hata mimi sielewi
 
Naona mnajitekekenya na kucheka wenyewe. Makonda ni kama maji usipoyanywa utayaoga
Mbona hili suala liko wazi kabisa walichokubaliana ni kuto kumuandika kwa mazuri yake yaani kuto kufanya nae kazi ila kila baya lake litaandikwa tu,sasa wewe unavyoona kwenye hiyo habari ni jambo jema au baya linalomchafua!? Alafu hiyo ni 2side story yaani upande mmoja ni wa Makonda na upande mwingine ni wa clouds hivyo wao wameandika kwa kuegemea upande wao huku wakimuacha Makonda mpweke
Hizo habari ni za kumbomoa sio kumjenga

Namkubali kama Rais wa dar
Kwahiyo unakubali anaitwa Makonda na si Bashite?
Aiseee
Tutamuandika kwa mabaya tu huyo kilaza wenu

Shangaa na wewe,hawaishi sababu hawa. Walimzira kimoja
Kwahiyo lengo lenu kwa sasa ni ubomoaji
 
Naona mnajitekekenya na kucheka wenyewe. Makonda ni kama maji usipoyanywa utayaoga

Namkubali kama Rais wa dar

Aiseee

Shangaa na wewe,hawaishi sababu hawa. Walimzira kimoja
Makonda ni maji kwako sie kwetu wengine ni mkojo tu used usiokua na thamani wala matumizi yoyote, hongera kwa kuyanywa Maji Makonda
 
Hongera kwa kunywa mkojo wa makonda

Back
Top Bottom