goukun waday
Member
- Feb 16, 2017
- 34
- 8
Wananchi wa majimaji wanaendelea kushambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni askari magereza wa kijijini hapa baada ya kutokea kutoelewana baina yao kufuatia kitendo cha askari hao kuwajeruhi vujana watatu waliokuwa wanaosha pikipiki katika MTO ulio mpaka baina ya kijiji na gereza. Kuanzia SAA moja na nusu usiku huu hapa ni milio ya risari na vilio vya waathirika ndio vinatawala. Tutaendelea jujua