Waandishi wa habari mmeonyesha undumilakuwili kwa kushirikiana na Prof. Lipumba

Mra Eliphas

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
264
234
Ni jambo la kusikitisha kwamba niynyi waandishi wa habari mmekubali kumpa coverag Prof Lipumba licha ya kujua kwamba ni mtu huyu ndie aliyewaumiza vibaya nyinyi waandishi wa habari kwa (kudaiwa) kuwashambulia kupitia kundi lake pale Mabibo wakati wakiwa kwenye mahojiano na viongozi halali wa CUF wilaya ya Kinondoni.

Mlikataa kushirikiana na Mkuu wa mkoa wa Dsm, Paul Makonda/Daudi Albert Bashite kwa kitendo chake cha kuvamia Studio za Radio Clouds na askari wenye bunduki kwa madai kwamba ni ukandamizaji wa vyombo vya habari, jambo ambalo nami nakiri ni kweli.

Kiwango cha shambulio lililofanywa na Lipumba na kundi lake dhidi yenu waandishi wa habari na viongozi wa CUF pale Mabibo, ni zaidi ya uvamizi wa Bashite pale Clouds. Mmoja wa majambazi hayo yaliyowashambulia baada ya kukamatwa na wananchi na kupata kipigo alieleza wazi yote waliyofanya aulizwe Prof Lipumba kwa kuwa ndiye aliwatuma!

Hata msemaji wa Prof. huyu anayejulikana kwa jina la Kambaya alikiri wazi kwamba wao ndio waliwatuma na kusema nyinyi waandishi wa habari mlistahili kipigo kwa kuwa eti mmekuwa mkiipendelea CUF halali ya upande wa Maalim Seif.

Sasa ndugu zangu waandishi wa habari, kwanini hamjampa kibano cha kum-ban Prof. Lipumba kwa kutoandika habari zake zenye maslahi kwake isipokuwa zile ambazo ni negative kwake, kutokumpa coverage yoyote tv, radio magazeti nk kama tu mlivyofanya kwa Makonda/ Bashite?

Kwa hili mimi nawaona kama mmekuwa wanafiki vile. Bado hamjachelewa, mpeni kibano. Pale Clouds hakuna mwandishi wa habari aliyeumizwa, kwenye uvamizi wa prof. Lipumba mmeumizwa kwa kushambuliwa, bado Tv Clouds inampa coverage!

Amkeni sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hii ndo TZ bhana.... Maamuz yanatolewa kwa chuki. Et wanadai hak zao, sasa kpo wap kwa alchokfanya lipumba au kwasabab sio clouds ya Boss luge alyetajwa ktk madawa?
 
Acha kulialia wewe...muwakilishi wa mafisadi.

Ulimuona lipumba akiwatuma ??

Kuna muandishi aliyepigwa??

Kosa la kumpiga mtu ni kosa la jinai kwa nini wasiende mahakamani??
 
Mmesha ona Waandushi kama Kikapu na Ndampo lenu
Chuki zenu zakijinga mnataka Waandishi wazifuate!!
Waandishi hawatakiwa kuegemea upande mmoja
unawezaje kumhoji mmoja mwingine uache
watu wataelewa vipi,
Vyombo vyahabari vinapaswa kujitenga na Kuegemea upande mmoja
 
Back
Top Bottom