maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Juzi kwenye sherere ya wafanyakazi amesema cwt kwa nini inawakata walimu asilimia mbili mimi nauliza kuna chama cha wafanyakazi ambayo haiwakati waganyakazi wake?
Walimu kupitia hiyo asilimia mbili wameweza kuwa na benki na wanataka kusimama na kuwa na nguvu je wengine wamefanya nini cha maana?
Tucta ni shirikisho la vyama vya wafanyakazi ambapo wanachangia vyama hivyo vinachangia kwa shirikisho.
Rais amefanya kosa kubwa kuwaandama cwt je wengine wamefanya nini mbona hata nyumba hawana aache wivu au kwa kuwa wameanzisha benki anaona nongwa?
kwa hiyo imani yangu anajua hakuna chama cha wafanyakazi isikata wafanyakazi wake ila kaamua kuwashambulia kwa sababu anayojua.
Kama kuna chama wafanyakazi haiwakati wafanyakazi wake basi tujue karibuni wanajamvi