Kibonde wa Clouds acha dharau basi

Huyu jamaa ni bigup sana wewe nadhan kwa sababu ni yanga ndio tatizo lako
 
Nimemsikilizz jionibhii akilizungumzia jengo la yanga linalotaka kupigwa mnada kiukweli sijamfurahia amejua na maneno ya kejeli sana eti anataka kulinunua afugie samaki huyu jamaaa
Si utani wa kawaida tu acha exaggeration isiyokuwa na maana
 
Sasa uongozi wa Clouds ndivyo unavyotaka hivyo kuongeza chachandu ya kipindi kisiwe boring.

Kama hutaki sikiliza redio nyingine.

Unataka kuwapangia jinsi ya kuendesha kipindi chao?
Ndiyo weledi wa kituo kuponda timu moja kwa kuwa huyo mapengo ni shabiki wa Simba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom