UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari ya jioni wanaJF,
Huu ni muendelezo kuhusu habari niliyoleta jana kuwa Watoto wa bosi yake kaka wamewapa mimba mabinti za kaka
Leo hii jioni kaka kapigiwa simu na bosi arudi wakazungumze lakini kasharipoti kwa mtendaji wa kijiji wanae kutiwa mimba.
Bosi analalamika kitendo cha kaka kuwaripoti wanae, kaka anasema ameshindwa kuvumilia kwakuwa watoto wa bosi ambao ni wasimamizi wa shamba walimnyanyasa pindi anapalilia miti akikata mti bahati mbaya alitakiwa kupanda mwingine na kuutunza na kufokewa juu.
Leo tena wanakana kuwajaza mimba watoto wake.Kesho Kaka atakuwa na mazungumzo na bosi.Nitawajuza.