pecial
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 734
- 555
Jamani naomba mnieleweshe wakuu kuhusiana na uhakiki wa umri kama alivyosema mheshimiwa rais, unafanyika kwa njia zipi? Maana kuna watumishi ni wa siku nyingi makazini hawana vyeti vya kuzaliwa so hao ni njia zipi zitatumika kuwahakiki kama walighushi au la?