Ingekuwa sio umasikini : Kwa mvua hizi, DSM ilipaswa kuwa na lami hadi vichochoroni

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Jiji limekaa kama beseni.
Mvua ikinyesha maji kila kona. Huku uswahilini, nje ya jiji na maeneo ya miinuko njia zinateleza utadhani zimepakwa sabuni ya magadi ...

Natamani Tanzania ipate pesa jiji kama dsm liwe na lami na mitaro kila sehemu hadi vichochoroni ili pamoja na geography sumbufu ya jiji lkn maisha yawe mwanana zaidi...
 
Jiji limekaa kama beseni.
Mvua ikinyesha maji kila kona. Huku swahilini, nje ya jiji na maeneo ya miinuko njia zinatereza utadhani zimepakwa sabuni...
Natamani Tanzania ipate pesa jiji kama dsm liwe na rami na mitaro kila sehemu hadi vichochoroni ili pamoja na geography sumbufu ya jiji lkn maisha yawe mwanana zaidi...
 
Jiji limekaa kama beseni.
Mvua ikinyesha maji kila kona. Huku swahilini, nje ya jiji na maeneo ya miinuko njia zinatereza utadhani zimepakwa sabuni ya magadi ...
Natamani Tanzania ipate pesa jiji kama dsm liwe na rami na mitaro kila sehemu hadi vichochoroni ili pamoja na geography sumbufu ya jiji lkn maisha yawe mwanana zaidi...
Fedha zinapatikana lkn tatizo viongozi mafisadi
 
Umepita njia ya Kijichi kwenda Mbagala Zakiem kupitia Mbagala Kuu shuleni ? Yaana kuanzia pale Mbagala Kuu shule ya Msingi (kituo Shule) kwenda mpaka kituo cha Chemichemi utachoka!
 
Mkuu sio Dar tu hata kule kijijini kwetu kungekua na lami hadi njia za msituni.........kuna nchi moja nipo huku yaani wanaweka lami hata pasipotakiwa, magari kila siku yanapita kufagia barabara, muda mwingine wanamwagia maji barabara wakati ni lami
 
Back
Top Bottom