Ofisi ya Rais Mstaafu JK yakanusha taarifa iliyosambaa kwenye mtandao kuwa anatoa mikopo

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
70606b31e9203886f621ee6b9c71435a.jpg
 
ofisi ya rais mstaafu ipo wapi haina anuani!? imeanzishwa kwa kifungu kipi cha katiba na sheria ipi!?
au niamini hili tangazo nalo ni feki..

ufafanuzi kwa mwenye ufahamu
 
Jk kweli Mzee wa Kumwaga Ajira!

Ofisi ya Rais Mstaafu Ina Naibu Katibu wa Rais Mstaafu?

Nyerere , Mwinyi na Mkapa baada ya kustaafu hawakuwa na Cheo hicho cha Naibu Katibu, wengine wana Katibu tu wa Rais Mstaafu

Mkwere hataki Shida panapowezekana kugawana 'Umaskini' Hana hiyana!
 
ofisi ya rais mstaafu ipo wapi haina anuani!? imeanzishwa kwa kifungu kipi cha katiba na sheria ipi!?
au niamini hili tangazo nalo ni feki..

ufafanuzi kwa mwenye ufahamu
Mkuu hebu jiongeze kidogo kuliko kujichoresha mtandaoni! yaelekea hufahamu kabisa kwamba hata Rais wa sasa ana Ofisi yake "binafsi" ukiacha hiyo ambayo umeikariri kichwani mwako! Jiongeze!
 
ofisi ya rais mstaafu ipo wapi haina anuani!? imeanzishwa kwa kifungu kipi cha katiba na sheria ipi!?
au niamini hili tangazo nalo ni feki..

ufafanuzi kwa mwenye ufahamu
Jichanganye uibiwe
 
Mkuu hebu jiongeze kidogo kuliko kujichoresha mtandaoni! yaelekea hufahamu kabisa kwamba hata Rais wa sasa ana Ofisi yake "binafsi" ukiacha hiyo ambayo umeikariri kichwani mwako! Jiongeze!
Sasa si kaomba ufafanuzi?,wewe badala ya kumuelimisha unaleta kejeli.
 
Back
Top Bottom