SWALI KUNTU: JE WATUMISHI WALIOFUNDISHWA NA WALIMU WENYE VYETI FEKI WATUMBULIWE?

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,061
Kichwa cha habari chajieleza!

Waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka. Je Mtumishi aliyepewa maarifa na Mwalimu aliyekuwa na cheti feki twaweza sema alirithishwa maarifa feki?

Kwa mfano wa Prof.Shivji hivi majuzi kwamba wenye vyeti feki sawa watumbuliwe, je wenye utaalamu feki vichwani?

Kuna mantiki katika hili kwamba tunahitaji Reformation katika utumishi wa umma aidha kwa kuwapa mafunzo ya uwezeshaji kuhusu kufanya Kazi vizuri na kujiendeleza kielimu kwa uhalali.

Mfumo wetu wa Elimu unahitaji Mabadiliko makubwa.
Swali la kizushi:
Cheti feki chaweza kuzàa utalaamu halisi?
3f69333321565ceb21d8c7dba3914f47.jpg
 
Back
Top Bottom