fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Habari Wanabodi,
Ni takribani miezi mitatu iliyopita nilikuwa Mwandege-Mkuranga, maeneo ya Rosh Bar, mbele kidogo ya hii bar kulionekana kana kuna mtaro mdogo ulkiyosababishwa na mvua.
Jana tarehe 10 May nimepata tena fursa ya kupita eneo lile na hapo ndiyo nilijiuliza swali "je, wahusika/wakaguzi wa barabara wameshindwaje kushughulikia hili tatizo kabla halijaleta madhara".
Hii ni barabara yanakopita mabasi makubwa yakwenda Mikoa ya Kusini na daladala nyingi zinapitia hii barabara, hivyo kuharibika kwake kutasababisha madhara makubwa ikiwa ni pamoja na ajali. Pia hii hali imekuwa kero kubwa sana kwa waenda kwa miguu hasa watoto wa shule/wanafunzi.