Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,212
- 4,328
Wakuu habari zenu?
Nimekiona hili mara kadhaa, leo nimeamua kushare, nimekuwa nikipita mara nying sana karibu na Kanisa la Ufufuo la Mch. Gwajima, sio siri jamaa ni jembe.
Ukiacha mambo na vitu vingne ambavyo weng huwa wanaend kumsikiliza hasa mambo ya kitaifa, ila kwa upande wa mafundisho mzee yupo vizuri sana kwakweli, nimepita jana jioni pale ufufuo nikasikia anahubiri na kufundisha maneno mazuri sana ambayo ni matunda kwa kondoo wake.
Nimesikia akiwafundisha watu wake jinsi ya kufaulu na kutoka kimaisha hasa kiuchumi, huku akiwapa motisha waumini kuwa wanatakiwa wathubutu kufanya mambo makubwa, na kuweza kuanza kufanya hivyo vitu hata wakiwa wana kidogo kwamba hcho ndo cha kuanza nacho huku akiwasisitiza kuwa siri ya mafanikio ni kuanza, afu pia kutokata tamaa na kutorudi nyuma. Haya ni baadhi tu niliyoyanote.
Kama kuna mtu alikuwako ktk ibada anaweza kutufunulia mengi, maana tumezoea makanisa mengi huwa wachungaji wanahubir tu kuhusu kufanikiwa ila pasipo kuwapa moyo au mbinu waumin za kufaulu.
Asante bishop!