Gharama za vifurushi vya startimes

Gharama za vifurushi vya startimes

chanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
344
Reaction score
190
Habari zenu ndugu na dada,naomba kujua kama gharama za vifurushi vya startimes vimepanda kwa wote au king'amuzi changu kina leakage sababu kwa miezi miwili mfululizo kimekua kinakata baada ya siku 23 tofauti na mwanzoni ilikua uki recharge tarehe moja basi kitakata tarehe 30 mwisho wa mwezi kwa kile kifurushi bab kubwa cha 5000/. Tafadhalini naomba mnijuze.
 
Hicho kifurushi sikuhizi ni 6000/= acha kukalili maisha mkubwa....Lipa 6000/= kitaenda siku 30.
 
Kinachukua muda gani ku-update mkuu maana nimelipia hiyo 6000 tangu jana kupitia tigo pesa lakini kila nikiangalia hamna channel inayokamata
 
Vipi kWa anayetumia antena na king"amuzi kWa upnde wa malipo ya Mwezi ?
 
Back
Top Bottom