bado unazurura? fanya kutuma na picha za jioni hii tuoneHeshima kwenu wakuu,
Leo nmezunguka sehemu nyingi hapa dar es salaam, nlichoona kama maajabu ni kwamba hakuna foleni tuliyoizoea.
Mvua inanyesha lakini foleni inatembea. Sijajua nini sababu.
Haijawahi kutokea tangu Magufuli awe Rais.