Jamani kama nilivosema ni swali la ufahamu tu tangu bunge lianze miaka na miaka wabunge wanaowakilisha jimbo la Dodoma mjini nao hulipwa stahiki zao sawa na wabunge watokao majimbo mengine?au hulipwa transport allowance pekee sababu anatokea eneo lake la kazi?
Maake kwa kawaida mfano mimi kama kuna training inafanyika mkoani kwangu,Mbeya,huwa nalipwa transport allowance pekee.
nawakilisha
Maake kwa kawaida mfano mimi kama kuna training inafanyika mkoani kwangu,Mbeya,huwa nalipwa transport allowance pekee.
nawakilisha