Picha: Adhabu hatarishi kwa wanafunzi

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
735
FB_IMG_1494239083540.jpg

---------------------------
Kwanza hao watoto wamepanda wenyewe au wamepandishwa...???

Aisee kama hiyo ni adhabu ilivuka kiwango.... Inasikitisha sana
Poleni sana watoto kwa hilo zoezi
 
Wewe ndiye umeleta picha jukwaani halafu unatuuliza sisi, huoni kama unaingia kwa kundi la hamnazo au umekuja na agenda ya kichonganishi
 
Japo sifurahii lakini nadhani, It is a high time now we leave the scholars alone. Siasa zimeingia mno mashuleni kiasi kwamba sasa hivi tutasikia wanaharakati wakitaka shule hiyo itajwe na mwalim akamatwe.
Mnaipeleka wapi elimu?? Acha wakutane na hao waalim. Sidhani kama kuna mwalim katili hivyo
 
Kwa hiyo watoto wakiteswa na wakiuwawa shuleni ndio elimu inapanda?
Ok I agree let sholars alone without pupils.
 
Hayohayo ndio yamesababisha mtoto kufariki baada ya kufungiwa kwenye safe kwa muda mrefu.
Hizi adhabu nyingine hazifai,ni zaidi ya torture na mbaya zaidi ni watoto wadogo.

Period
 
Japo sifurahii lakini nadhani, It is a high time now we leave the scholars alone. Siasa zimeingia mno mashuleni kiasi kwamba sasa hivi tutasikia wanaharakati wakitaka shule hiyo itajwe na mwalim akamatwe.
Mnaipeleka wapi elimu?? Acha wakutane na hao waalim. Sidhani kama kuna mwalim katili hivyo
laiti kama kiboko ama adhabu zingekua zinaongeza ufaulu, punda wangekua wamejazana vyuo vikuu
 
Huwa najiuliza hivi mpka kuwa mwalimu ni mpaka ufudhu mafunzo ya jeshi ama maana wanatoaga adhabu za ajabu kweli
 
Tatizo wengi wenu mmepitia shule miaka ya mitandao. Kiukweli ualimu ni with maana unakutana na watoto waliolelewa mazingira tofauti na tabia zao tofauti. Sasa jiulize mtoto Wa darasa la kwanza au la pili anaiba penseli ya mwenzake at a kama anayo ya kwake mpya shuleni. Je walimu wakiacha kutumia nguvu na akili kuwanyoosha, jiulize ni taifa gani tunajenga? Natamani wangekutana na 'BINU'
 
View attachment 507407
---------------------------
Kwanza hao watoto wamepanda wenyewe au wamepandishwa...???

Aisee kama hiyo ni adhabu ilivuka kiwango.... Inasikitisha sana
Poleni sana watoto kwa hilo zoezi

Ndo shule za kata, hata kama elimu ni bure sipeleki mtoto, mwache akae nyumbani! Yani nikimwangalia mtoto wangu jinsi ambavyo hawaogopi walimu wake nakumbuka mimi nilivyosoma.
 
Back
Top Bottom