Sakata la vyeti- Makamu Mkuu UDOM Prof I.Kikula naye atajwa

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idrisa Kikula naye ameorodheshwa katika watumishi ambao tarifa zao vya vyeti vya taaluma hazikamilika (incomplete)

Katika orodha hiyo Prof Kikula yupo katika no 342
kikula.jpg

kikula.jpg
 
Hivi wakati wanasilisha hivyo vyeti vyao hawakutoa sababu za msingi za kutowasilisha baadhi ya vyeti vyao? Kwani huko NECTA haionyeshi kama walifanya mitihani ya sekondari na diploma?
 
Nakwambia no stone will be left unturned hapa lazima kuna kitu
Hongera Rais JPM kwa kuthubutu kufanya kile wengi wasichotarajia kuwa
utaweza fanya. Hakika historia itakukumbuka siku zote.
 
Nakwambia no stone will be left unturned hapa lazima kuna kitu
Hongera Rais JPM kwa kuthubutu kufanya kile wengi wasichotarajia kuwa
utaweza fanya. Hakika historia itakukumbuka siku zote.
Hakuna historia katika biasness! The whole exercise id futile!
 
Back
Top Bottom