Kuna mzee wangu mmoja bila kuwa na machale na yeye angekumbwa na utumbuaji wa vyeti feki.
Huyu mzee alikuwa na cheti feki, Kwan maana ya kwamba baada ya kuhitimu fomu4 miaka ya 70 alipata div4,aliamua kukifanyia modification kikawa kinasomeka div2.
Mzee mwenyewe akapiga zake chuo(diploma) baadae akajiendeleza adi kuhitimu shahada ya kwanza kwa kutumia cheti feki.
Baada ya kuhitimu alifanikiwa kuajiliwa na kufanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka25,na moja ya wizara aliyofanya kazi JPM aliwai kuiongoza.
Nakumbuka mwaka 2015 baada ya JPM kutangazwa mshindi, mzee aliniambia kwa jinsi jpm alivyomtu asiyetabilika ni vyema astafu tu kwa hiari kwani umri pia unamruhusu.
Yaani kiufupi alikuwa naona kustaafu kwa miaka 60 ni mbali sana,na alikuwa akisema sana JPM ni mtu asiyetabilika ata kidogo ,ni vyema ajistahafie kwa amani.
Na kweli mzee akafanya taratibu na kustafu kwa hiari mwaka jana 2016 ,ikiwemo kupewa stahiki zake 138milioni.
Kumbe kuna jamaa mwingine alitumia cheti kile feki cha mzee, na jina limetokea kwenye orodha ya vyeti feki,na tayari kajitoa kazini mwenyewe. Na mzee naye yangemkumba kama asingeshtuka mapema
Naona mzee yupo apa anakula Zake bata polepole,akiwa na kitu Nissan murrano.