IDOM NA TATIZO LA UVAMIZI WA WANYAMA PORI

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
Ndani ya wiki hii chuo kikuu cha dodoma kilipata ugeni mzito kutoka mbugani ambapo tembo walifika katika msitu wa chuo hiki kikubwa kabisa central and east africa.TEMBo hawa tayari wameshawekwa chini ya usimamizi wa tanapa...
Jambo lililonitia wasiwasi ni kwamba eneo hili la chuo lenye ukubwa wa 6000 hekari... Kwa maelezo ya wenyeji eneo hili la chuo limekuwa na uvamizi wa wanyama wakali kwa kipindi kirefu!!!! Na kuna baadhi ya wanafunzi walishaathiriwa na fisi.pia wanyama wengi tu wameshaonekana eneo hili!!!!!!habari hizi nimezipata kwa wagogo ambao ndo wakazi wa hapa!!!!!!!!!
KWA HIYO WANAFUNZI WA UDOM ACHENI KUTEMBEA USIKU...WANYAMA WA MWITUNI WAMEAMUA KUHAMIA MAKAO MAKUU
 
Back
Top Bottom