Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salam ndg zangu. Toka swala la uhakiki lianze, haliishi kabisa.Kila siku uhakiki, hii inasababisha watumishi wa umma kila siku kutembea na vyeti original mkononi ili ikitokea la kutokea,awe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwepo na hoja mitandaoni kuwa askari wenye vyeti feki wakifukuzwa basi uharifu utaongezeka hii ni dhana tu ambayo haina ukweli kwanini nasema hivyo Tukumbuke hawa askari si kwamba wote...
5 Reactions
66 Replies
11K Views
Ndugu watanzania, huyu mtoto Subira anasumbuliwa na ugonjwa mbaya, hali inayomfanya asiweze kula chochote zaidi ya mafuta na sukari robo, kibaya zaidi analelewa na mama tu baba alifariki, mama...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Mashirika ya Bima:wajiunga Necta na Vyuo kuhakiki vyeti vya Madreva wanaosababisha Ajali wajilizishe kwenye malipo. Baada ya zoezi la vyeti kushika kasi ; Mashirika ya BIMA za ajali na majanga...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa Hospital. Ntaendelea kuwajuza habari zaidi. Tuwaombeeni dua ndugu zetu wamekwama barabara ya Mombo...
6 Reactions
211 Replies
32K Views
Wakuu nimeleta Uzi huu hapa kwa lengo la kutaka kuwaambia Kampuni ya Halotel kua wanachotufanyia wateja wao sio kabisa. Yani nimewafuatilia kwa muda wa mwezi sasa ila nimegundua wanatuibia ...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika muendelezo wa matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya wakuu wa wilaya nchini, mkuu wa Wilaya ya Njombe mama Msafiri amemuweka ndani mwenyekiti wataa wa Buguruni iliyo katika wilaya hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati wa awamu ya kwanza baada ya uhuru,dunia ilikuwa imegawanyika katika makundi mawili yaliyozaliwa na kilichoitwa vita baridi,kulikuwa na kundi lililokuwa linafuata falsafa za mataifa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu tangu mvua zimeanza leo nimesahau tena mwamvuli, i mean nimepoteza, imezidi miamvuli kumi sasa Nawapongeza wanaokumbukaga kubeba hata kama mvua imekatika, Ulienda mahali mvua ikinyesha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ibada hiyo imeongozwa na mkuu wa wilaya ya Karatu ikihusisha viongozi wa dini zote na wananchi. Dua na maombi yamefanyika eneo la ajali ambapo binafsi nimehudhuria. Ibada hiyo imetanguliwa na...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Naomba anaejua farasi wanapopatikana,nataka wa kunisaidia kwa usafiri...Najua ntatembea mikoa yote bila bughudha Halafu nasikia ndio usafiri salama kuliko yote Duniani.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
There is a time when builders start searching for BROKEN BRICKS to fill the GAPS to complete their work. Yes some of us are like BROKEN BRICKS, we are IGNORED and thrown out and considered as...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu. Nina shida sana na mwenyeji wa Kitongoji cha Kibengo kilichopo kijiji cha Luziba, kata ya Luziba Wilayani Biharamulo, mkoani Kagera. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, Katika kufuatilia ziara au mikutano ya viongozi wakuu wa nchi, Mara nyingi sana nikiona viongozi wakuu kama Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu. Hasa nchi za Afrika...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
BBC Dira TV: Watafiti kutoka chuo kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI sasa wanaweza kuishi karibu umri sawa na watu wasio na virusi hivyo. Utafiti huo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu Katika pilikapilika za biashara zangu kwa bahati mbaya nilichanganyiwa fedha kadhaa halali lakini zilikuwa ni chakavu hivyo kila nliyempa alikuwa anazikataa Naombeni mnipe taratibu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka jana wafanyabiashara wa sukari walikamatwa kwa kuambiwa walioficha sukari ... Sijui mwaka huu nao watakamatwa kwa kuficha Sukari??
0 Reactions
1 Replies
846 Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limewaomba Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kutoa taarifa mapema mara inapotokea hitilafu ya umeme iliyosababishwa na mvua au sababu nyingine. Akizungumza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha Uzi hapo, karibuni mtiririke.
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvi niende moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu. Wakati huu wa mvua sehemu nyingi takribani mikoa yote ya tanzania ambazo mvua hizi uenda mwisho nimekutana na clip nyingi...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…