Bima:wajiunga Necta kuhakiki vyeti vya Madreva wanaosababisha Ajali kabla ya FIDIA

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Mashirika ya Bima:wajiunga Necta na Vyuo kuhakiki vyeti vya Madreva wanaosababisha Ajali wajilizishe kwenye malipo.

Baada ya zoezi la vyeti kushika kasi ; Mashirika ya BIMA za ajali na majanga : wameanza nao kufuatilia vyeti vya madereva wanaosababisha Ajali ,walioajiliwa kama kweli ni madreva halisi na vyeti vyao ni sahihi vya Necta wakilinganisha na vyuo vya udreva .

wameazimia kuwa wanatuma taarifa za dreva necta kama kweli kamaliza form four . Na chuo alichopita kama kweli kinatambuliwa :

LESENI inakuwa kama Guide tu

Haya yamenikuta baada ya Dreva wa Rafiki yangu kusababisha ajaili ktk kampuni: Kampuni inaidai bima ilipe Gari jipya.



wanasheria hii imekaaje??????????????????????????
upload_2017-5-12_7-52-24.jpeg
upload_2017-5-12_7-52-43.jpeg
 
Back
Top Bottom