bi shostee
Member
- Jan 6, 2017
- 36
- 69
BBC Dira TV: Watafiti kutoka chuo kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI sasa wanaweza kuishi karibu umri sawa na watu wasio na virusi hivyo. Utafiti huo umeonesha wagonjwa wanaweza kuishi miaka kumi zaidi, tangu dawa za kufubaza virusi zianze kupatikana kwa wingi miaka ishirini iliyopita. Tweets Salym